Translate

Sunday, March 11, 2012

Das Lameck-Bado Mapema

Das Lameck ni msanii anayekuja kusumbua kwa kasi,katika soko la burudani hapa kwenye kiwanja cha Kikwete.anatokea huko Mtwara,chimbuko la burudani.