Translate

Wednesday, February 27, 2013

NEW MOVIE : BAHARIA

PRODUCTION : AMMAR FILM PRODUCTION
STORY:
Bi Chonde ana mjukuu wake yatima, anamlazimisha aolewe na mume asiyomtaka,kisa mume ni baharia kwa kila kinachosemekana mabaharia wanatabia wa kuoana wao kwa wao wakiwa safarin.Lakini mjukuu anamkataa mume,kwa tamaa ya utajiri analazimishwa na anaolewa,kwenye maisha ya shida saana mke anatoroka kwa mumewe na anasakwa kwa udi na uvumba naye anahangaika misituni,usiku mchana, (mjini) Ammar anatakiwa aoe na mchumba wake nimapepe hakubaliki kwao,nini kinamfika hadi hamuoi? Na mjukuu wa Bi Chonde alishawahi kuahidiwa kuolewa na ammar utotoni mwao, jee ndoa itakua?

No comments: