Translate

Wednesday, April 10, 2013

MJUE MWANAMZIKI KEKO TOKA UGANDA KIUNDANI ZAIDI HAPA !!

Queen wa michano wa Uganda Keko ameweka wazi orodha ya vitu vitano
ambavyo kwake amevipa nafasi ya mbele kabisa kikubwa cha kwanza ikiwa ni kula msosi.
Katika namba mbili hadi tano ya vitu ambavyo anapenda sana msanii huyu,
kuna lipstick ambayo hawezi kwenda popote bila kuwa nayo, pesa za
mahitaji, bibilia na mwisho kabisa, familia yake ambayo kwa mujibu wake
anaipenda sana.
 Keko ni moja kati ya wanamuziki ambao nyota zao zimeweza kung’aa kwa
kiasi kikubwa ndani na nje ya mipaka ya nchi zao kutokana na kujituma
sana na kutengeneza ladha ya tofauti kupitia muziki wa rap.

No comments: