Monday, March 12, 2012

NAJUA UTABISHA,ILA UTAKUBALI TU !!

huyu dada tisha mbaya,mpaka yeye mwenyewe anajiogopa anaitwa Zamzam or Nicky Minaj wa bongo.

Zamzam,ni mmoja wa wasanii wa kike ambaye anafanya vizuri katika soko hili la filam hapa bongo