Sunday, March 11, 2012

PASHA FT RECHO - POLE

Pasha Mtepa,sio jina geni katika masikio yako.naweza sema ni Msanii mkali zaidi ya wakali ambaye anakimbiza vilivyo,ndani ya bongo na nje ya bongo katika muziki huu wa kizazi kipya.