Sunday, March 11, 2012

YALIYOJIRI KWENYE SHOW YA DJ CLEO @KIJITONYAMA POSTAL GROUND

Mtangazaji kutoka Times FM Sandrah akizungumza na wakazi wa jiji la Dar waliojitokeza kuja kumtizama msanii na dj mkali kutoka South Africa DJ CLEO katika kiwanja cha Kijitonyama Postal Ground

Dogo janja akiwa na madee kwa steji

Dj Cleo akiwatizama mashabiki wake

Baadhi ya wakazi wa jiji waliojitokeza kwenye show hiyo

Sandrah & Aloy kutoka Times FM

Dj D Ommy akifanya mambo yake kwa steji

Ommy Dimpozi kwa steji

TMK wanaume family kwa steji

Dogo janjaro akizungumza na mashabiki wake