Sunday, April 29, 2012

DIAMOND KUWASHA MOTO LEO,NDANI YA DAR LIVE

Diamond platnumz ambaye anatarajia kupiga show Dar Live Jumapili hii iitwayo,’Coming Home Show’. Msanii huyo aliyetwaa Tuzo za Kili tatu hapa juzi kati atashuka kwa mwendo wa Helikopta katika viwanja hivyo ambapo atatumbuiza mashabiki wake Platnumz style.

No comments:

Post a Comment