LULU MAHAKAMANI LEO!! Lets pray for her Jamani Mshatkiwa Elizabeth Michael (17), ' Lulu' akielekea kupanda ngazi na kupandishwa Kizimbani Kesi hiyo ilikuja kwa ajili ya kutajwa. Upelelezi haujakamilika hiyo ni kwa mujibu wa Wakili wa Serikali Elizabeth Kaganda alisema mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Rita Tarimo hivyo kesi hiyo itatajwa tena Mei 7 mwaka huu. Mtuhumiwa amerudishwa rumande.
No comments:
Post a Comment