Msanii wa Bongo Flava Naseeb Abdul, aka Diamond,anayetamba na nyimbo zake za nimpende nani na Mawazo, anatarajia kupiga show katika shughuli ya eviction ya Big Brother inayosemekana itakua ni ya kipekee mjini Johannesburg, South Africa.
Msanii huyo anayetamba kuwa nominee wa MTV African Music Awards na tuzo kibao za Kilimanjaro Music Awards, ameondoka nchini leo kuelekea pande za madiba tayari kuwapa moto wa Diamond Platnumz Baby!
No comments:
Post a Comment