SIMBA YATOLEWA KATIKA MASHINDANO YA KIMATAIFA
Wawakilishi pekee katika mashindano hayo ya kimataifa simba sports club ya Tanzania,imeondolewa leo katika mashindano hayo baada ya kukubali kipigo cha 9-8 kwa njia ya matuta toka kwa timu ya Al ahly shandy ya sudan.
No comments:
Post a Comment