Tuesday, July 31, 2012

MORE FIRE NI THE SCOPION GALZ IN LOCATION PICTURE







Najua utajiuliza ni kina nani,hapo kuna Isabella Mpanda,Rashida Wanjara pamoja na Jini kabula bila kumsahau mtu ambaye kawavisha hayo mavazi Jokate kidoti.ni wasanii wa bongo movie ambao wanakuja kivingine sasa katika mziki wa bongo fleva kama tulivyozoea kutamka,hapo wakiwa location na hizo ni baadhi ya shoot zao,wakifanya video na Adam Juma wa visual lab.stay tune

No comments:

Post a Comment