Sunday, August 12, 2012

HALI YA BI KIDUDE SI YAKURIDHISHA KWA SASA


Msanii Mkongwe wa muziki wa Taarabu Asilia Nchini Bi Fatma Bint Baraka (BI KIDUDE) kwa hivi sasa anaumwa na yupo nyumbani kwake, Kwa niaba ya wadau na wapenzi wote wa muziki wa Bibi Yetu huyu tumuombee dua ili apate afuweni inshallah...

No comments:

Post a Comment