Saturday, August 25, 2012

KALALA JUNIOR ATAMBULISHWA TWANGA PEPETA


Msanii wa muziki wa dansi nchini Kalala Junior (katikati), akicheza na baadhi ya wanenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta wakati alipotambulishwa kujiunga na bendi hiyo Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment