Wednesday, September 19, 2012

FILAM MPYA YA KANUMBA KUINGIA SOKONI

HII ni filamu mpya ya Kanumba inayokwenda kwa jina la Ndoa yangu ambayo
amemshirikisha nyota mwingine wa Tanzania Jackilne Wolper, Kwa mujibu
wa steps Entertainment wamesema filamu hiyo ipo tayari na itaanza kusambazwa
ifikapo tarehe 28/09/2012

No comments:

Post a Comment