Friday, November 2, 2012

BREAKING NEWS !! WANANCHI WAFUNGA BARABARA MBEYA TANZANIA

Wananchi wa Imezu Mbeya wafunga Barabara Kuu ya kuelekea Malawi na Zambia baada ya Lori la mizigo kuwagonga na kuwaua wanafunzi wawili wa shule ya Chekechea. Picha Kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog.

No comments:

Post a Comment