Saturday, November 10, 2012

JINAMIZI LA AJALI MBEYA LAENDELEA WATANO WANUSURIKA KIFO USIKU WA KUAMKIA LEO

AJALI MBAYA ILIYOTOKEA SAA SITA USIKU MAENEO YA SAE KITUONI JIJINI MBEYA KATI YA GARI AINA YA MISTUBISHI CANTER YENYE NAMBA ZA USAJIRI T425 BSX LILILOKUWA LIKITOKEA TUKUYU KUJA MBEYA NA KUGANGANA NA TOYOTA SPRINTER YENYE NAMBA T890 BNQ ILIYOTOKEA MAENEO YA HAPO SAE

No comments:

Post a Comment