Friday, November 2, 2012

KARIAKOO PACHAFUKA TENA LEO-WAISLAM WAENDELEA NA MAANDAMANO YAO !

Kwa mara nyingine tena leo kumeshuhudiwa machafuko mengine katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam baada ya polisi wa FFU kutumia mabomu ya machozi kulitawanyisha kundi kubwa la waumini wa dini ya kiislam waliokuwa wanaokena kutaka kuandamana. Pamoja na kutofanyika kwa maandamano, mkusanyiko mkubwa wa waislam nje ya msikiti uliopo maeneo haya baada ya swala ya Ijumaa uliwafanya polisi kutumia jitihada mbalimbali kuutawanyisha na baadhi ya watu kukamatwa na polisi akiwemo sheikh mmoja. Naye Kamanda mkuu wa kanda maalum ya Dar es Salaam, Selema Kuna taarifa pia vibaka walitumia fursa hiyo kufanya yao. Picha kwa hisani ya BONGO5.COM

No comments:

Post a Comment