Saturday, November 17, 2012

NDOA YA ANT EZEKIEL HUKO DUBAI !!

Msanii wa Bongo Movie hapa nchini almaarufu kama Ant Ezekiel baada siku hizi chache kutangaza katika vyombo vya habari kwamba anatarajia kuolewa sasa habari imekamilika.kwani siku ya jana ndiyo ilikuwa ni siku ya pekee kwake kwa kutimiza ndoto zake na ndoa hii ilifungwa huko Dubai picha hizi ndiyo zimethibitisha kwamba amefunga ndoa rasmi.

No comments:

Post a Comment