Thursday, November 1, 2012
WASHIRIKI 30 WA REDDS MISS TANZANIA 2012 SHINDANO LITAKALOFANYIKA TAREHE 3 NOVEMBER
Anaitwa VIRGINIA MOKIRI ni mshiriki namba 1. Akitokea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na akiwakilisha Elimu ya Juu.
Anakwenda kwa jina la EUGENE FABIAN Mbio za kulisaka taji la Miss Tanzania amezianzia Mkoani Mara na baade kutwaa taji la Kanda ya Ziwa na anavalia namba 21 kambi ya taifa.…
ANANDE RAPHAEL ni mshiriki namba 11 akitokea Mkoa wa Kilimanjaro akiwakilisha Kanda ya Kaskazini.
BABYLOVE KALALA ni Mshiriki na 9 akitokea mkoa wa Kagera, akiwakilisha Kanda ya Ziwa.
BELINDA MBOGO ni mshiriki na 29 akitoka mkoa wa Dodoma akiwaklilisha Kanda ya Kati
BRIGITTE ALFRED ni Mshiriki namba 26 akitokea Kitongoji cha Sinza na anawakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
CAREN ELIAS mshiriki 23 anatokea Mbeya anawakilisha Nyanda za Juu Kusini.
CATHERINE MASUMBIGANA ni mshiriki na 15 akitokea Kitongoji cha Chang'ombe anawakilisha kanda uya Temeke jijini Dar es Salaam.
DIANA HUSSEIN amepata namba ya ushirtiki 20, akitokea kitongoji cha Dar Indian Ocean, akiiwakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
EDDA SYLVESTER amepata namba 22, akitoka Kigamboni na anaiwakilisha Kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam.
ELIZABETH DIAMOND anavalia namba 2 akitokea mkoa wa singida, akiwakilisha kanda ya Kati.
FATMA RAMADHANI nambari yake 25 akitoka chuo cha Uandishi wa habari Arusha ASJ, anawakilisha Kanda ya Elimu ya Juu.
FINA REVOCATUS anavaa namba 12 akitoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM, akiwakilisha Kanda ya Vyuo Vya Elimu ya Juu.
FLAVIAN MAEDA anavalia namba 10 akitokea kitongoji cha Kurasini mwakilishi wa kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Kutoka Kahama- Shinyanga ni HAPPINESS RWEYEMAMU ananamba 8 anawakilisha Kanda ya Ziwa.
Huyu ni HAPPYNESS DANIEL namba yake ya ushiriki ni 19 anatokea jiji la Mwanza akiwakilisha Kanda ya Ziwa.
IRINE VEDA anatokea Lindi na kupata namba 16 akiuwakilisha Kanda ya Mashariki.
JESCA HAULE ni mshiriki namba 14, akitoka kitongoji cha Chang'ombe anawakilisha Kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Anatoka Mji kasoro Bahari-Morogoro ni JOYCE BALUHI akiwa ni mshiriki 13 anawakilisha Kanda ya Mashariki.
KUDRA LUPATOni mshiriki 24 akitokea kitongoji cha Dar Indian Ocean, akiiwakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Huyu ni LIGHTNESS MICHAEL anavalia 5, akitokea Dodoma akiwakilisha Kanda ya Kati.
MAGDALENA ROY mshiriki namba 6, kutoka Kitongoji cha Dar City Centre akiwakilisha Kanda ya Ilala.
Anaitwa Mary Chizi akitokea kitongoji cha Ukonga, anavalia namba 17, akiwakilisha Kanda ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Jinalake ni NOELA MICHAEL yupo na namba 27, anashikilia taji la kitongoji cha Tabata na ni mwakilishi tegemeo wa Kanda ya Ilala.
Rose Lucas ana namba 28 akitokea Mkoa wa Pwani akiwakilisha Kanda ya Mashariki.
VENCY EDWARD ni mshiriki nambari 7, akitoka Mkoa wa Rukwa akiwakilisha Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
WARID FRANK huyu ni mshiriki namba 30 akitokea Arusha ana kuiwakilisha Kanda ya Kaskazini.
Anaitwa ZUWENA NASIB akiwa ni mwakilishi pekee wa chuo Kikuu Huria OUT.
No comments:
Post a Comment