Sifa za Hoteli: Ina vyumba 31 vyote ni self contained,maji moto,Television,Internet,ina mgahawa wenye vyakula mchanganyiko,bar nzuri yenye vinywaji vingi,pia tuna parking kubwa na salama.
Mahali hoteli ilipo: Nairobi/Moshi road,jirani na Sakina Super Market/Triple A night Club
Tunaamini utatuuunga mkono uwekezaji huu wa kitanzania kwa 100% . Tunaomba uwaambie ndugu / rafiki pia juu ya hoteli yetu.
Asante na Karibu sana.
Mawasiliano:
Emilias Sylvster
General Manager
Simu 027 2547711
Simu mkononi 0713 260027
Email penguinhotelarusha@yahoo.com
Tovuti www.penguinhotelarusha.com
No comments:
Post a Comment