Aunt Ezekiel alifunguka hayo juzikati alipokuwa akipiga stori na
mwandishi wetu jijini Dar ambapo alibainisha kuwa akijitazama
mustakabali wa maisha yake basi anaona kabisa kuwa hawezi kufikisha hata
miaka 40 kabla hajafa.
“Daah! Sijielewi kabisa yaani kwa jinsi ambavyo najiona, nikifikisha miaka 40 ni bahati aisee, dunia sasa imebadilika sana,” alisema Aunt.
No comments:
Post a Comment