Aug 1 2013 mwigizaji staa Irene Uwoya
alitangaza kupitia millardayo.com kwamba wiki ijayo jumanne saa tatu na
nusu usiku ataanza kuonekana kwenye show yake mpya ya TV.
Ni show
ambayo Watanzania mbalimbali wa kipato cha chini watakua wanamtumia
barua pamoja na picha za nyumba zao zilizo kwenye hali mbaya ili
zikarabatiwe.
Pamoja na kupokea barua nyingi, Irene ataangalia
ipi imemgusa zaidi ili aende kuikarabati hiyo nyumba…..karibu umtazame
kwenye hii video hapa chini na pia unaweza kutoa maoni yako ambayo
atayasoma mwenyewe leo saa 4 usiku.
No comments:
Post a Comment