Yule Mchungaji Maarufu kutoka Nigeria
Ambae hutabiri mambo mbalimbali na kweli yakatokea TB Joshua leo
ametoa utabiri mpya ambao unahusisha Africa Mashariki ...ameonyeshwa
rais mmoja Africa Mashariki atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club
wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo,
amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani?
Misa ya leo jumapili ndo kasema, na
amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni
rais gani na nchi gani.
Jamani tuombe sana isiwe Tanzania
No comments:
Post a Comment