Sio tu watu maarufu bali binadamu wengi huingiwa na uoga kila
wanapofikiria swala la kwenda kupima kama wana maambukizi ya virusi vya
ukimwi au la na hata akifanikiwa kupima pia ugumu huja pale mtu
anapofikiria kwenda kuchukua majibu.
Mama Krish “Irene Uwoya” best actress wa bongomovie awards 2013
ameweka wazi majibu yake ya vipimo vya VVU na kuhamasisha watu wengine
wafanye maamuzi ya kwenda kupima afya zao, cheti na maneno ya
kuhamasisha watu wengine kupima .
picha na maelezo kwa msaada wa millardayo
No comments:
Post a Comment