Friday, December 27, 2013

HOT NEWS TOKA KWA WEMA NA DIAMOND KAMA UNAVYO ONA HAPA

Hiyo ndio habari ya mujini kwa sasa,baada ya wema kupanda jukwaani na kucheza pamoja na Diamond kumuzua maneno mengi sana,kuwa yawezekana wamerudisha lile penzi lao ambalo liliyumba ghafla siku nyingi zilizopita,nadhani tutapata kujua mengi na mengineyo siku zijazo ili kuwa na uhakika zaidi juu ya uhusiano wao wa kimapenzi ulivyo sasa.

No comments:

Post a Comment