Monday, January 27, 2014

IAMONDI APEWA MAKAVU NA :: BONGE LA NYAU

Huu ndio ujumbe aliouandika msanii bonge la nyau kupitia page yake ya facebook    DIAMOND TAKE CARE WACHA KASHFA.

Guys hivi huyu domo Diamond anamtaka kitu gani msanii Alikiba? Tokea juzi amekua akimzungumzia katika Media kwa mliofatilia Interview yake baada ya kusamehewa na kituo cha Channel Ten jana usiku aliropoka maneno haya kuhusu Ali Kiba

Diamond: "Unajua kuna watu hawataki kukubali kama mimi ni zaidi yao kuanzia muziki wangu mpaka maisha yangu, mtu anaulizwa Twitter hivi mkiamua kufanya nyimbo moja na Diamond hamuoni kama itapendeza sana et, anajibu never ever haiwezi kutokea mimi kuimba na Diamond. Badala angekubali apate Kick nimrudishe katika muziki analeta dharau wakati hanipati kimuziki mpaka kipesa. Muziki wake hauna tena soko istoshe nasikia asahivi amejiunga na mfuko mpya wa kutoa mikopo PRIDE unaitwa FAIDIKA NA PRIDE kakopeshwa kajenga nyumba. Sitaki kua mnafiki namuweka wazi ni Ali kiba"

Duh asa Diamond kwani mtu kujiunga PRIDE akakopeshwa ndio tatizo? Kuna matajiri kibao mjini humu wanamaisha mazuri kwa ajili ya mikopo. Zote chuki @Diamond kama nawewe unataka mkopo si ukajiunge? Sio kumpiga majungu mwenzako, watu kibao tumejiunga na mikopo tumepata ndo inayotusaidia, kama nawewe unataka jiunge na PRIDE tena usisumbuke bofya hapa: http://pride-tanzania.wapka.mobi ukajiunge utapatiwa mkopo sio kumpiga vita mwenzako.

No comments:

Post a Comment