Kuambiana alikumbwa na umauti baada ya kuanguka chooni wakati akiwa location katika hoteli ya Silver rado iliyopo Sinza kwa Remy .
Filamu zilizowahi kumpatia umaarufu ni pamoja na Fake Pastors aliyoigiza na Vicent Kigosi, Regina, Faith More na Lost Twins. Blog ya Larrybway91 inawapa pole wafiwa wote waliofikwa na msiba huu.
MUNGU AI LAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI AMEEN
No comments:
Post a Comment