Translate

Monday, August 20, 2012

DULLY AKUBALI KURUDI TENA SHULE !!!


Msanii wa bongo freva Abdull Sykes ‘Dully Sykes’ amefunguka kuwa yupo tayari kurudi shule , akizungumza wiki iliyopita katika kituo cha redio Dully alisema yeye binafsi hafichi kwani ameishia kidato cha pili na kiingereza anachoongea ni kwa ujanja wake pamoja na marafiki zake wa karibu wamemfundisha , vilevile amewaasa vijana na wasanii wenzake nao kusoma kwani dunia ya leo bila kusoma huwezi kusonga mbele, amemaliza na kusema kuwa yeye hatakama hatopata nafasi ya moja kwa moja basi atamtafuta mwalimu amfundishe hata nyumbani

No comments: