Translate

Wednesday, September 19, 2012

WEMA SEPETU BILA SKENDO HAWEZI KUISHI !!


Baada ya Ant Ezekiel kuto kuonyesha heshima katika jukwaa la serengeti fiesta sasa habari nyingine ambayo imetokea mkoani Morogoro siku ya serengeti fiesta katika viwanja vya jamhuri.Msanii anayejulikama kwa jina la Wema sepetu alionekana amevaa nguo fupi ambayo sio ya heshima na hiki si kitu kizuri kwa mashabiki au hata mtanzania.Kwani hapo ndipo unajishusha thamani pia hata mashabiki wako hawata nunua kazi zako.Jamani tujiheshimu ili mwisho wa siku jina lako lipate kufika mbali lakni kama ni hivi sijui kama tutafikia.

No comments: