Translate

Sunday, November 18, 2012

HAYA NDIO MATUKIO YA HARUSI YA AUNT EZEKIEL HUKO DUBAI

Picha hizi ni Baada ya harusi yao hapa walikuwa na Wageni waalikwa Kutoka Tanzania Hasa wasaniii wa Filamu Maarufu Wakipata Chakula cha Jioni Huku Dubai....Haya sasa Natumaini Mmemuona Vizuri Shemeji Yetu Ambae Alifichwa sana Mpaka Siku ya Harusi

No comments: