Translate

Friday, November 2, 2012

ISIKILIZE HAPA NYIMBO YA H -BABA,AMBAYO INADAIWA DIAMOND KAIBA IDEA YAKE !!

H.Baba ameileta Bongo5 cd yenye demo ya wimbo wake 'Nataka Kulewa' ambayo anadai ameibiwa idea na Diamond. Wengi walikuwa hawaamini na kusema H.baba anatafuta pa kutokea. Kama bado huamini usikilize mwenyewe hapa: http://www.bongo5.com/exclusive-sikiliza-nataka-kulew a-ya-h-baba-anayodai-diamond-ameiba-idea-11-2012/

No comments: