Translate

Tuesday, January 22, 2013

WEMA SEPETU'' APOST PICHA ZA NUSU UCHI


Miezi ya hivi karibuni magazeti ya udaku yamepunguza kumwandika vibaya katika magazeti.Ila Wema Sepetu ameamuwa kupost habari zake,pamoja na picha za vituko mwenyewe katika mitandao  Hizi ni picha alizozipost kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: Gats to lose me a few more pounds!

No comments: