New
Leo ndio ilikuwa itoke hukumu ya kesi ya mwadada mwenye jina kubwa
tanzania mama mwenye mtoto mmoja,msanii wa bongo movies tanzania kajala
masanja,hukumu hiyo imehairishwa mpaka tarehe 25 mwenzi wa tatu,akiongea
na kachero wetu kwa njia ya simu mmoja wa marafiki wa karibu aliekuwepo
kwenye kesi hiyo mahakamani leo amesema kutokana na kutokuwepo kwa
baadhi ya wahusika katika kesi hiyo inamladhimu hakimu kuhairisha kesi
hiyo mpaka tar 25 mwenzi wa 3. blog hii inamuombea kajala masanja kila
la heri hili aweze kushinda kesi hiyo...
No comments:
Post a Comment