KAULI YA MANGE KIMAMBI HII HAPA !!! I
think wengi wetu tuliamua kumu ignore tu huyu mbwa koko……Kama mimi ndo
kabisaaaaa yani nilikuwa nishasema ngoja nifanye kama hayupo hai……
Jamani. Kila siku lazima
anitukane kwenye comments zake? Nilim contact kistaarabu nikamwambia
Sintah achana na mimi, sikujui tuheshimiane, ila wapi jitu halielewi.
Sijui
blog yake hainogi bila kumtaja mange kimambi. Alafu ukiliambia eti
linasema sio mimi naweka comments ni administrator. Sura kama
administrator una hela ya kuweka administrator wewe. Mfyuuuuu…..
Mijitu
mingine bwana, yani last week niliboreka kidogo nkamzabue vibao. Jitu
linajua kabisa story ni za uongo sasa anaweka comments ili iwaje? Bora
hata basi anifate fate mimi, sometimes anaweka hata comments za kutukana
Watu ambao hata hawajui just because hao watu wana issue na mie. Yani
last week nilisema ngoja nkamzabue mabao tutaheshimiana nikapelekwa hadi
kwake kanakaa sinza pale bamaga, yani hapo anapokaa tu nilimuonea
huruma. Nkaonyesha na hicho kibiriti chake anachoendesha, yani nikasema
maskini ya mungu adhabu tayari anayo sina haja hata ya
kumuongelesha….Kha!!!
Watu
mnaambiwa mashauzi yanataka pesa hamsikiiii, mtu unajishaua wakati huna
mbele wala nyuma, uunachekesha walionuna tu.Unajishaua na vinguo vya
mtumba??? Mfyuuuuuu, shenzi kabisa…. Yani naona hata aibu nimekaa hapa
naandika article ya yule mjinga. Ila lakini mtu haoni kwama anakuwa
ignored, kila siku ananitukana on her blog but i ignore her, hata siku
moja huwezi kukuta comments za yule Sintah. Hajiulizi kwanini?
Anajifanya anajua kuongelea mambo ya watu yake tukiongelea hapa
tutayamaliza?
Sintah kubali
maisha yako, wewe ni mtanzania wa kima cha chini thats ur status na sio
mbaya ,just jikubali unachekesha sana unapoanza kutaka kuwa matawi
wakati you dont have anything.
Huyu nyau alikutana na mdogo wa rafiki yangu kwenye ndege on her way to
uganda. Katika maongezi huyo mtoto akamwmabia amefikia serena hotel na
babake. Basi Sintah asiende hadi serena hotel kumfata huyo mdogo wa
rafiki yangu, eti naomba kwenda chumbani kwako nikapige picha niweke
kwenye blog. Hivi huyu mtu ana akili kweli??? Jamani kama hukubarikiwa
kuwa na maisha ya juu embu yakubali yako tu.
Wewe Sintah kutaka kushinda na mange kimambi ni sawa na kondoo atake kushindana na simba…Chief utakuwa unatania….
You will never be me, hata karibu yangu hutofika utakachoweza kufanya
ni kunitukana kwenye comments alafu ujidai eti ni watu wananitukana….
Mbwa
mkubwa mtu sina beef na wewe, sijawhai kugombana na wewe, unanifatafata
nini ?????? Nishakwambia kistaarabu mara mia kidogo husikiiii… Ila
unachokitafuta kwangu utakipata… Tena shukuru sikai dar, Maana nikija
dar nipo busy kutafute mahela staki kupoteza muda polisi la sivyo
ngekuwa nishakutengua kiuno nyau we.
Hivi
na nyie kina dida na wengine mnaosumbuliwa na huyu panya hivi
mnashindwa kumfunza adabu mtu mnaishi nae hapa hapa town. Siku moja
mkamateni mumpe kibanoo mumtoe na nguo mumpige picha mnitumie niweke
humu….
Alafu mumfanyie na kitu
mbaya maana huyu nahisi anasumbuliwa na nyege tu….Hiki kiherehere
alichonacho ni nyege zinamsumbua…Anachokitafuta atakipata very soon….
MAJIBU YA SINTAH HAYA HAPA !!!
well done madam
Mange
upo Dar nitafute unizabe sweet heart, ila kabla hujanizaba nenda
kambembelezee sweet Albert poor u uliniomba nitoe comments sikutoa leo
unanitukana,fellow blogger shahidi u begged msg, email ninazo nita
print kwa wadau wako waone how desperate u were oooh sintah toa post
nikasema sitoi maana sikuogopi.
NB sigombani na wewe maana
nitakuwa mtu wa laki tano hapa mjini tangu uanze kugombana na watu
hivi hujiulizi una nini? najua una mtoto karibia umri wangu hebu
mfundishe kuvaa pads mwanao,behave basiii soon mwanao anaolewa, kuwa
kama mama wa watoto wawili wewe sio duu tena
anyway si kosa lako
maana hukufundwa ulikosa radhi ya mama, kumkimbia mama na kwenda matawi
ya juu na kumuacha mama yako Tandale, basi mimi na wewe wote tuna
papatikia matajiri si etiiii eeehmwaego
bora mie ninaye kaa kwangu
padogo ni kwangu je wewe unajikondesha u fit kwenye double deka tena
nyumba ya hawara wa marehemu baba yako, mie na kagari kangu we na tax za
Dar si ungenunua gari, ili usipate shida kama matajiri wenzio, tell ya
wadauz ulivyo na maisha ya maigizo
nilikuwa nasubiri uanze sasa endelea,
dawa ya Mange jamani ni Unstoppable
mwenzenu anapiga simu huyo nita print mbona mie simsumbui, sijawahi
kupokea cm yako unateseka kuniulizia nakaa wapi kama huogopi comments
ungekituliza kama mabaga fresh sasa waniulizia kwa watu wa nini?
shamim muulizeni anavyomkera ongea na sintah kudadadeki nakaa holy wood ya Tzzzz
yes nina MA na wewe ya uarabuni ulikuwa unajifunza kuandika makombe ishiii
mimi nitanyamaza na sina ugomvi na wewe,,, ndo maana umetuma email, textssikuwahi kuandika humu sasa leo umeanza
wewe
original tandale pse ulizia my family background kabla hujanitukana au
kwakuwa sijionyeshi kama wewe masikini akipata eeeh coz tumezaliwa navyo
we umevikuta,,,
nitiacha hii post mpaka jnee nitaitoa coz of my career je wewe kazi wapi haaaa za kupewa na hubby una keep change
okaybyeeee
wadau 100% ya ile email ya huyu madam ni kweli aliandika asijikoshe kwenu sifekero ni yeye sasa kama mume yupo hawara ya nini??
hakukunii eeh poor u upo kimasilahi eeh si mapenzi ndo maana unapaona pachungu ndoa ndoano dada yangu
Facebook, twitter, blogs zote umeharibu wewe ni mtu wa aina gani?
JESHI LA MTU MMOJA TU |
No comments:
Post a Comment