Translate

Thursday, April 11, 2013

HAYA SASA BANA BA CONGO HERE I COME MTOTO WA KIMANYEMA.....

Habari mabibi na mabwana...ni siku nyingine nzuri tuliojaliwa uzima na amani tele.....mapenzi yangu ya dhati katika utendaji wangu
wa kazi naendelea vizuri kwa kudra za mwenyezi mungu..
Napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa uzima na
 kila jambo.....sio kama
ni mkamilifu sana kuwepo sahihi bali kwa rehema
 zake na upendo wake juu yangu
mimi na wewe tupo salama mpaka muda huu.....!Napenda kuwaomba
radhi mashabiki wote wa blogsite yenu ya jamii ya This is diamond
kwa kuwa kimya kwa muda wa wikii moja kutokana na matatizo
ya kiufundi yaliokuwa nje ya uwezo wetu....lakini ninayo furaha
kuwataharifu kuwa kila jambo limeshugulikiwa na mambo yamerudi
kama zamani na yataenda saawia.....!!
Napenda kuwataharifu mashabaki zangu kote barani
 afrika na ulimwenguni kote,hususani
mashabiki zangu wa Nchini Congo....kuwa Toto la
 kimanyema...mtoto wa Sandrah the presdent himself
 and the only king in Tanzania Diamond
platnumz all the way from Tanzania,Bongoland....
kutoka tandale....kuwa siku ya tarehe 11 mwezi wa 5 ntakuwa
ndani ya ardhi ya Congo,Uvira...
Sintokuwa pekee yangu ntakuwa na Crew yangu
nzima ya Wasafi wakiongozwa na Dumi Utamu,
 Mose Iyobo,Rama tonser na Emma Platnumz...
Ntakuja kuwalewesha mpaka kesho kisha ntachagua wa
 kumpenda....!! Siku hiyo ntakinukisha mpaka
 niakikishe uvira yote
inakuwa kama Bongo.....!!

Congo This Is For u.......!!! kaa Tayari....!!
Mahana Congo yote itakuwa ikimsubiri mfalme toka bongoland
siku hiyo UVIRA Itawaka moto...!!

No comments: