Translate

Sunday, May 26, 2013

FEZA KESSY NA AMMY NDIO WAKILISHI TOKA TANZANIA KATIKA BIG BROTHER AFRICA


Sasa tunaweza kuthibitisha Tanzania inawakilishwa na washiriki wawili kwenye shindano la mwaka huu la Big Brother Africa lililopewa jina la "The Chase" ufunguzi wa shindano hilo umeanza
muda huu huko Afrika kusini.Washiriki hao ni Feza Kessy na Ammy Nando.

No comments: