Translate

Tuesday, June 25, 2013

WAPENZI WAJINYONGA KWA PAMOJA BAADA YA KUKATALIWA KUOANA

 mkasa uliotokea nchini Congo ..Wapenzi hawa wawili
waliamua kuchukua jukuma la kujinyonga kwa
 kujininginiza 
 kwenye mti hadi kufa baada ya wazazi wa
 mvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana huyo..Baada
 ya jitihada zao za kuwashawishi kushindikana
 basi waliamua kuchukua hatua hiyo ya kujinyonga….
Wazazi tuwe makini na maamuzi yetu mbele ya watoto

No comments: