Translate

Saturday, August 3, 2013

VIDEO:SEHEMU YA VIDEO YA IRENE UWOYA AKIWA KATIKA SHOW YAKE MPYA...

Aug 1 2013 mwigizaji staa Irene Uwoya alitangaza kupitia millardayo.com kwamba wiki ijayo jumanne saa tatu na nusu usiku ataanza kuonekana kwenye show yake mpya ya TV.

Ni show ambayo Watanzania mbalimbali wa kipato cha chini watakua wanamtumia barua pamoja na picha za nyumba zao zilizo kwenye hali mbaya ili zikarabatiwe.

Pamoja na kupokea barua nyingi, Irene ataangalia ipi imemgusa zaidi ili aende kuikarabati hiyo nyumba…..karibu umtazame kwenye hii video hapa chini na pia unaweza kutoa maoni yako ambayo atayasoma mwenyewe leo saa 4 usiku.

No comments: