Translate

Friday, December 27, 2013

DIAMOND ATOA POLE KWA MTOTO ALIYEUMIA WAKATI AKIJARIBU KUPATA NAFASI YA KUMUONA



                                                Napenda nitoe pole za dhati kabisa kwa binti huyu mdogo,aliyepata

 majeraha usoni wakati akijaribu kupata nafasi ya
 kunishuhudia..yote ni kutokana na msongamano mkubwa wa watu uliokuwepo..
NAWAPENDA MASHABIKI WANGU..NAWAPENDA SANA WATOTO WOTE


Hayo ni maneno toka kwa msanii DIAMOND

No comments: