Tuesday, March 20, 2012

JE ! UMEPATA KUMFAHAMU MSANII KIZO B? CHUNGULIA HAPA

huyu ndio msanii KIZO B,ni Mtanzania ambaye kajichimbia huko kwa Mwai Kibaki.kuna ngoma kafanya na spack na video itakuwa out hivi karibuni...na kuhusu my studio..wasanii wa blaqchedah wamepata deal ya kwenda canada for recording deal nag7systeam....

No comments:

Post a Comment