huyu dada tisha mbaya,mpaka yeye mwenyewe anajiogopa anaitwa Zamzam or Nicky Minaj wa bongo. Zamzam,ni mmoja wa wasanii wa kike ambaye anafanya vizuri katika soko hili la filam hapa bongo