Tuesday, July 24, 2012

AJALI MBAYA YATOKEA MAENEO YA MTO WAMI


Ni ndani yamuda mfupi.... Basi la Kampuni ya Dar Express na basi la Simba, yamegongana uso kwa uso maeneo ya Mto Wami...majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa ndani ya Hospitali ya Chalinze

No comments:

Post a Comment