Tuesday, July 24, 2012

DITTO NDANI YA NIAMIN TOKA KWA PROF JAY


Siku kadhaa sasa zikiwa zimepita tangu kutoka kwa pini 'wapo' na 'tushukuru kwa yote' of which both did well and are still doing very well on the charts, sanii Lameck Ditoo ameamua kuachia pini lingine jipya liitwalo 'Niamini 2012'.

Kwenye wimbo huu Lameck ametumia chorus ya wimbo uliowahi kutamba sana kipindi hicho bongo flava ikitingisha ya 'Niamini' ya kundi la Hard Blasters lililokuwa likiongozwa na Heavy weight MC na guli wa miondoko ya hiphop nchini Professor Jay.

Lameck anasema amerelease wimbo huu ikiwa ni dedication kwa marehemu mama yake mzazi aliyekuwa akimpenda sana.

Kwa mujibu wa Ditto, matumizi ya chorus ya wimbo huu yamepewa baraka zote na Professor J

No comments:

Post a Comment