HABARA ILIYOTUFIKIA GLOBU YA JAMII HIVI PUNDE,INAELEZA KUWA WAKAZI WA KIJIJI CHA KIHANGAIKO,
MSATA MKOANI PWANI WAMEFUNGA BARABARA KWA MUDA WA MASAA MANNE SASA NA KUPELEKEA MSONGAMANO MKUBWA
WA MAGARI.
WANANCHI HAO WAMEFIKIA UAMUZI HUO WA KUIFUNGA BARABARA HIYO KUBWA KUTOKANA NA AJALI YA KUGONGWA
NA GARI MMOJA WA WATOTO WA KIJIJI HICHO NA KUPOTEZA MAISHA,HIVYO WANASHINIKIZA KUWEKWA KWA MATUTA
KATIKA ENEO HILO.
GLOBU YA JAMII INAENDELEA KUFUATILIA TUKIO HILO NA ITAENDELEA KUWAPASHA KADRI TAARIFA ZITAKAVYOTOLEWA.
No comments:
Post a Comment