Ajali hii imetokea maeneo ya Mbezi Afrikana jijini Dar es Salaam leo ambapo Lori hili lenye nambari za usajili T 545 BPU lililokuwa likimwaga mchanga na kujikuta likipiga mweleka na kuangukia Gari ndogo aina ya Toyota Rav4 yenye nambari za Usajili T839 BSL iliyokuwa imepaki katika eneo hilo. Hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa katika ajali hiyo.
Picha kwa hisani ya http://othmanmichuzi.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment