Saturday, August 25, 2012

MATONYA AFARIKI DUNIA




Mzee Anthony Matonya maarufu kwa jina Matonya omba omba tangia enzi za Makamba alipokuwa mkuu wa mkoa wa dsm,amefariki dunia juzi na kuzikwa jana nyumbani kwake huko Dodoma
omba omba huyo ambae chanzo cha kifo chake kinasemekana kuwa ni ugonjwa wa kifua ,alishindwa kupatiwa matibabu kutokana na hali ngumu ya kifedha.

No comments:

Post a Comment