Saturday, August 25, 2012

WOLPER KUJA KIVINGINE NA MALIPO


Nyota wa filamu Jaqueline Wolper kupitia kampuni ya JB Production ameingia ulingoni kwa ajili ya kuandaa filamu zake mwenye sambamba na meneja wake Leah Mwendamseke almaarufu kwa jina la Lamata, kwa kuanza kampuni hiyo tayari imekamilisha kurekodi filamu yao ya Malipo,filamu ya kipekee kuanzia hadithi, waigizaji wake wameigiza katika kiwango kikubwa cha kimataifa , ok si semi mengi bali mtaona katika filamu ya Malipo,Katika filamu ya Malipo wameshiriki wasanii wakali na Nyota kama Jaqueline Wolper, Blandina Chagula ‘Johari’, Stanley Msungu ‘Seneta’, Hashim Kambi ‘Ramsey’, Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’, Mgata, Ahmed Ulotu ‘Mzee Chilo, Slim na wasanii wengine kibao, filamu imeongozwa na Laeh R. Mwendamseke ‘Lamata’

No comments:

Post a Comment