IBADA YA MAZISHI YA MAREHEMU DAUDI MWANGOSI YAFANYIKA ITETE, TUKUYU MKOANI MBEYA
Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akilia kwa uchungu Waandishi wa Habari wakiwa katika msiba wa kwanza kutoka kulia ni Ndugu Joseph Mwaisango ambaye ni mwandishi mkuu wa Mbeya yetu Blog, Rais wa UTPC Keny Simabaya, pamoja na Felix Mwakyembe . Mheshimiwa Mark Mwandosya ambaye ni Waziri ofisi ya Rais na pia Mbunge wa Rungwe Mashariki akitoa salamu kwa niaba ya Serikali.
No comments:
Post a Comment