Thursday, October 3, 2013

SABABU ZA UKIMYA WA MWANAMUZIKI NAKAYA


Mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva ambaye pia ni dada wa aliyekuwa Miss Tanzania 2005,Nancy Sumari,Nakaaya Sumari amepost picha mbalimbali mtandaoni akiwa na ujauzito ambao unaonyesha atajifungua muda wowote kutokana na ukubwa wake...

No comments:

Post a Comment