Omar Borkan ni mwanaume mwenye asili ya
kiarabu na anafanya shughuli za Photographining, mwandishi wa mashahiri
na pia ni Actor kutoka Dubai, mwanaume huyu anamvuto kiasi cha
kuwachanganya wakina dada wengi.
Kutokana na mvuto wake huo, Omar Borkan alishawahi kuponzwa na umvuto wake alionao kiasi cha kufikia kufukuzwa katika moja ya sherehe Riyadh na polisi wa kidini ya kiislam. Na pia kaka huyu alipewa amri ya kuondoka kabisa nchini Saudi Arabia kwa kuwa atakuwa akiwachanganya wanawake kwa mvuto wake.

No comments:
Post a Comment